Mshambuliaji wa zamani wa Manchester zote, United na City, Carlos Tevez akiwa na mpenzi wake wa tangu utotoni, Vanesa Mansilla baada ya kufunga ndoa jana mjini San Isidro, Buenos Aires nchini Argentina. Tevez alianza urafiki na Vanesa akiwa ana umri wa miaka 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Karim Benzema buys £138,000 BMW - and still has £92,000 left of his daily
salary
-
Karim Benzema has purchased a new £138,000 luxury car as he continues to
enjoy life in Saudi Arabia on a mega-money deal.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment