• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 24, 2016

  GRIEZMANN ALIPOKUTANA NA PORZINGIS MADISON SQUARE

  Mshambuliaji wa Atletico Madrid na Ufaransa, Antoine Griezmann mwenye urefu wa futi 5 na inchi tisa akiwa na mchezaji wa kikapu wa New York Knicks, Kristaps Porzingis mwenye urefu wa futi 7 na inchi tatu (kulia) walipokutana ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani juzi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GRIEZMANN ALIPOKUTANA NA PORZINGIS MADISON SQUARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top