Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta (kulia) akijaribu kumpita beki wa Standard Liege, Milos Kosanovic katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji jana Uwanja wa Laminus Arena, Genk. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2 Samatta akiifungia bao la kusawazisha Genk dakika ya 77
Samatta akimpita beki wa Liege, Isaac Mbenza (kuli)
Samatta akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao dakika ya 77
Ulimwengu (wa pili kulia) akipongezwa na mchezaji mwenzake baada ya bao muhimu
Refa A. Boucaut akimzuia Samatta baada ya kusimamisha mchezo jana
Samatta (katikati) akiwa na wachezaji wenzake katika hali ya masikitiko baada ya mchezo kumalizika wakilazimishwa sare ya nyumbani
BVB unterliegt nach gutem Start deutlich in Leipzig
-
Am 31. Spieltag der Fußball-Bundesliga hat Borussia Dortmund das
Auswärtsspiel in Leipzig mit 1:4 (1:2) verloren. Dabei hatte der BVB gut
ins Spiel gefunde...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment