• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 27, 2016

  LIVERPOOL MWENDO WA KASI, YAIBAMIZA 4-1 STOKE CITY

  Mshambuliaji wa Kibrazil, Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 44 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City Uwanja wa Anfield leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Goals: Adam Lallana dakika ya 34, Giannelli Imbula aliyejifunga dakika ya 59 na Daniel Sturridge dakika ya 70, wakati bao la Stoke City limefungwa na  Jon Walters dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL MWENDO WA KASI, YAIBAMIZA 4-1 STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top