Kipa namba moja wa Ufaransa, Hugo Lloris akiwa Kocha Mkuu, Mauricio Pochettino na kocha wa makipa, Toni Jimenez baada ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Tottenham Hotspur hadi mwaka 2022 akilipwa Pauni 100,000 kwa wiki sawa na mkataba aliosaini mshambuliaji Harry Kane mapema mwezi huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment