• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 23, 2016

  MAMBO YAMEKUWA; OSCAR ASAINI KUWA MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI DUNIANI

  Nyota Mbrazil, Oscar akiwa ameshika jezi ya Shanghai SIPG ya China kufuatia kujiunga nayo kwa dau la Pauni Milioni 52 kutoka Chelsea ya England. Oscar sasa atakuwa analipwa Pauni 400,000 kwa wiki timu hiyo ya Ligi Kuu ya China na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAMBO YAMEKUWA; OSCAR ASAINI KUWA MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top