• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 31, 2016

  CHELSEA YASHINDA MECHI YA 13 MFULULZO LIGI KUU ENGLAND

  Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa 13 mfululizo katika Ligi Kuu ya England baada ya kuilaza 4-2 Stoke City leo Uwanja wa Stamford Bridge. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Gary Cahill dakika ya 34, Willian dakika ya 57 na 65 na Diego Costa dakika ya 85, wakati ya Stoke City yamefungwa na Bruno Martins-Indi dakika ya 46 na Peter Crouch dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YASHINDA MECHI YA 13 MFULULZO LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top