• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 29, 2016

  FARID MUSSA MALIK ALIVYOPAA KWENDA HISPANIA JANA

  Winga chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik akiwa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jana wakati anaondoka kwenda Hispania kujiunga na klabu ya CD Tenerife ya huko, ambako klabu ya Azam FC imemtoa kwa mkopo wa muda mrefu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FARID MUSSA MALIK ALIVYOPAA KWENDA HISPANIA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top