• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 25, 2016

  SIMBA NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UHURU

  Kiungo wa Simba, Said Ndemla akipambana kugombea mpira katikati ya mabeki wa JKT Ruvu, Yussuf Chuma (kusshoto) na Frank Nchmbi (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
  Mshambuliaji wa Simba, Pastory Athanas (kushoto) akimtoka kiungo wa JKT Ruvu, Edward Joseph
  Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kushoto) akipiga pasi mbele ya kiungo wa JKT Ruvu, Hassan Dilunga 
  Winga wa Simba, Shiza Kichuya (kushoto) akiwatoka mabeki wa JKT Ruvu
  Kiungo wa Simba, Mohammed Ibrahim (kulia) akiwatoka wachezaji wa JKT Ruvu 
  Kipa wa JKT Ruvu, Hamisi Seif akidaka mpira katikati ya wachezji wa Simba, Pastory Athanas (kulia) na Mohammed Ibrahim (kushoto). Mwingine kulia ni beki wa JKT, Michael Aidan
  Beki wa JKT Ruvu, Frank Nchimbi akipiga mpira kichwea dhidi ya mshambuliaji wa Simba, Pastory Athanas
  Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Mussa Juma (kulia) akimvisha kanzu beki wa Simba, Method Mwanjali 
  Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kulia) akiwa na wadau wengine maarufu wa klabu hiyo, Richard Ndassa (katikati) na Hassan Hassanoo (kushoto)
  Maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na wapenzi wa Simba, kutoka kulia Ahmed Mgoyi, Salum Madadi na Wilfred Kidau
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top