Mshambuliaji tegemeo wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akimiliki mpira mazoezini na wenzake Karim Benzema, Pepe (kushoto) na Varane anayemuangali jana Uwanja wa Bernabeu kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Wolfsburg leo kwenye Uwanja huo. Reak inahitaji kushinda 3-0 baada ya kufungwa 2-0 wiki iliyopita Ujerumani ili kwenda Nusu Fainali. Mechi nyingine ya leo ni kati ya Manchester City na Paris Saint-Germain Uwanja wa Etihad, England ambazo mchezo wa kwanza Ufaransa zilitoka sare ya 2-2 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minute's silence held to remember Bondi Beach attack victims
-
Australian Prime Minister Anthony Albanese is booed as he arrives at the
memorial event.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment