Mshambuliaji Divock Origi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Origi alifunga mabao mawili, wakati mengine yamefungwa na Alberto Moreno na Daniel Sturridge na la Stoke limefungwa na Bojan Krkic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
What potential Bezos deal would mean for Liverpool
-
Why investment by a group including Jeff Bezos would not make a marked
difference to Liverpool's spending power - and might sit uneasily with fans.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment