Yanga SC imeshinda 3-0 dhidi ya Polisi Kombaini jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshambuliaji mpya, Donald Ngoma (wa pili kushoto waliosimama) kutoka Zambia amefunga kwa kwa mara ya pili mfululizo, baada ya awali kufumga katika ushindi wa 1-0 dhidi ya KMKM ya Zanzibar. Mabao mengine ya Yanga SC yamefungwa na Simon Msuva ana Mrundi Amissi Tambwe.
0 comments:
Post a Comment