• HABARI MPYA

    Wednesday, April 01, 2015

    ENGLAND YAPATA SARE 1-1 NA ITALIA UGENINI

    England captain Wayne Rooney (right) skips past the challenge of Italy defender Andrea Ranocchia
    Nahodha wa England, Wayne Rooney (kulia) akimtoka beki wa Italia, Andrea Ranocchia katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki jana Uwanja wa Juventus, Italia. Graziano Pelle alianza kuifungia Azzuri dakika ya 29 kabla ya Andros Townsend kuisawazishia Three Lions dakika ya 79.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3020241/Italy-1-1-England-Andros-Townsend-s-brilliant-right-footed-strike-cancels-Graziano-Pelle-s-opener-friendly-draw.html#ixzz3W2fuY4uq 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND YAPATA SARE 1-1 NA ITALIA UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top