ARSENAL WALIVYOPASHA LEO KUJIANDAA NA LIGI YA MABINGWA KESHO
Mchezaji wa Arsenal, Alex Oxlade-Chamberlain akijifua katika mazoezi ya timu yake leo, viwanja vya Colney, London kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa kesho dhidi ya Anderlecht
Danny Welbeck (kulia) na Calum Chambers wakijifua viwanja vya Colney, London
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment