• HABARI MPYA

    Tuesday, July 15, 2014

    NSSF WAFANYA MAMBO YANGA SC, WACHEZAJI WAPEWA DILI LA KUMILIKI NYUMBA ZAO

    Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius John Magori (kushoto) akizungumza na wachezaji klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam wakati wa semina maalum ya kuwaelimisha umuhimu wa kumiliki nyumba zao, iliyofanyika leo katika hoteli ya Serena Dar es Salaam.
    Makocha wa Yanga SC, kutoka kulia Kocha Mkuu, Marcio Maximo na wasaidizi wake, Mbrazil mwenzake, Leonardo Neiva na mzalendo Salvatory Edward
    Wachezaji wa Yanga SC wakisikiliza kwa makini hotuba ya Magori

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NSSF WAFANYA MAMBO YANGA SC, WACHEZAJI WAPEWA DILI LA KUMILIKI NYUMBA ZAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top