• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 30, 2014

  MESSI ANAVYOPUNGUZA MAWAZO BAADA YA ARGENTINA KUKOSA KOMBE LA DUNIA...YUKO TOTO HILO BALAA!

  NYOTA wa Barcelona, Lionel Messi ameamua kupunguza maumivu ya kukosa Kombe la Dunia kwa kwenda kujirusha kwenye jus la ufukweni nchini Italia na mpenzi wake Antonella Roccuzzo.  
  Messi na timu yake ya taifa, Argentina walifungwa 1-0 na Ujerumani katika fainali ya Kombe la Dunia mapea mwezi huu, bao pekee la Mario Gotze dakika za nyongeza.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameonekana kuamua kujisahaulisha namna alivyokosa Kombe la Dunia kwa kwenda kupungua upepo kwenye viunga vya Ponza.
  Punguza mawazo: Lionel Messi akiwa kwenye viunga vya Ponza na mpezi wake Antonella Roccuzzo chiniCheeky! Antonella inadvertently flashes her pert bottom as she prepares to dine
  Kimwana! Antonella kwa raha zakeRelaxation: Lionel has been enjoying some time out after playing for Argentina at the Brazil World Cup
  Lionel akituliza akili yake baada ya Argentina kukosa Kombe la Dunia BrazilSail away: Last week, Lionel and Antonella were seen sailing around the island of Capri
  Wiki iliyopita Lionel na Antonella walionekana visiwa vya Capri
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI ANAVYOPUNGUZA MAWAZO BAADA YA ARGENTINA KUKOSA KOMBE LA DUNIA...YUKO TOTO HILO BALAA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top