• HABARI MPYA

  Tuesday, July 22, 2014

  JAMES RODRIGUEZ AFUZU VIPIMO VYA AFYA REAL MADRID

  MFUNGAJI bora wa Kombe la Dunia, James Rodriguez amefuzu vipimo vya afya kuelekea usajili wake wa Pauni Milioni 60 Real Madrid.
  Rodriguez alitikisa kwenye Kombe la Dunia baada ya kutwaa Kiatu cha Dhahabu kwa mabao yake sita akiwa na timu yake ya taifa, Colombia.
  Na sasa mchezaji huyo anakwenda kuungana na magalactico Cristiano Ronaldo na Gareth Bale kuunda moja ya safu kali kabisa za ushambuliaji duniani
  Furaha kuwa hapa: James Rodriguez akionyesha dole wakati anaingia kufanyiwa vipimo vya afya Real Madrid
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JAMES RODRIGUEZ AFUZU VIPIMO VYA AFYA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top