• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 28, 2014

  AZAM FC WALIVYOKABIDHIWA MWALI WAO WA ROLLINGSTON NA KUANGUSHA BONGE LA PATI KARUME

  Mabingwa; Wachezaji wa Azam FC wakisherehekea na Kombe lao la ubingwa wa michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa nchi za Maziwa Makuu, maarufu kama Kombe la Rollingston walilokabidhiwa baada ya kufunga Twalipo mabao 2-0 katika fainali Uwanja wa Karume, Dar es Salaam jioni ya leo.
  Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA), Almasi Kasongo kulia akimkabidhi Kombe, Nahodha wa Azam FC, Hans Mgaya
  Kikosi kizima cha Azam FC na Kombe lao
  Katibu wa Azam FC, Nassor Idrisa 'Father' akimkabidhi Nahodha wa Champion, Kombe la ubingwa wa vijana chini ya umri wa miaka 15 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOKABIDHIWA MWALI WAO WA ROLLINGSTON NA KUANGUSHA BONGE LA PATI KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top