• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 26, 2014

  MTOTO WA MANYIKA ALIVYOANGUA KILIO KARUME LEO...

  Kipa wa Simba SC, Peter Manyika akibembelezwa na mwenzake wakati analia baada ya timu yake kutolewa na Azam FC katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa nchi za Maziwa Makuu, maarufu kama Kombe la Rollingston asubuhi ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Azam ilishinda kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 0-0.
  Mtoto huyo wa kipa wa zamani wa kimataifa nchini, Manyika Peter alidaka vizuri kwa dakika zote 90 na akapangua penalti mbili, lakini bado haikuwa bahati yao Simba SC

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MTOTO WA MANYIKA ALIVYOANGUA KILIO KARUME LEO... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top