• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 28, 2014

  MASHABIKI WAMVAA BALOTELLI UWANJANI AC MILAN IKIPIGWA 5-1 NA MAN CITY, REFA AMNYIMA BAO HIVI HIVI


  Kipenzi cha mashabiki: Mashabiki wawili waliingia Uwanja wa Heinz Field usiku wa kuamkia le kupoga picha na Mario Balotelli baada ya mechi kati ya AC Milan na Manchester City. City ilishinda 5-1 na Balotelli alifunga bao moja lililokataliwa na refa.
  Super Mario: Balotelli came on in the second-half for Milan, and had a goal chalked off for offside
  Super Mario: Balotelli aliingia kipindi cha pili, lakini refa akakataa bao hilo na hapa analalamikia kwamba hakuwa ameotea
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASHABIKI WAMVAA BALOTELLI UWANJANI AC MILAN IKIPIGWA 5-1 NA MAN CITY, REFA AMNYIMA BAO HIVI HIVI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top