• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 29, 2014

  MBRAZIL WA YANGA SC AWAWINDA WACHEZAJI WA AZAM

  Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Leonardo Neiva kushoto akijadiliana jambo na Msaidizi wake, Salvatory Edward jana wakati walipokwenda kushuhudia fainali za michuano ya vijana kwa nchi za Maziwa Makuu, Rollingston Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Katika Fainali ya U15, Champion ya kawe ilitwaa ubingwa kwa kuifunga Bom Bom ya Ilala 1-0, wakati katika U20 Azam FC ilitwaa ubingwa kwa kuifunga Twalipo mabao 2-0.
  Baadaye Leonard alimuacha Salva na kwenda kukaa jukwaani peke yake akiangalia fainali ya U20
  Alikuwa akiandika namba za wachezaji wanaomvutia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBRAZIL WA YANGA SC AWAWINDA WACHEZAJI WA AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top