• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 27, 2014

  UKIPENDA MUITE...'LOGA MASAMBUSA'

  Kocha Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logaruci raia wa Croatia, jana alionyesha ni kiasi gani anazipenda sambusa baada ya kuzinunua Uwanja wa Karume asubuhi na kuanza kuzitafuna hadharani, mbele ya mamia ya mashabiki bila kujali lolote.
  Loga alifanya hivyo wakati mchezo wa Robo Fainali ya michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa nchi za Maziwa Makuu, maarufu kama Rollingston baina ya Simba B na Azam Akademi ukiendelea Karume.
  Sambusa za Loga zilivurugwa tumboni na matokeo ya Simba kutolewa kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
  Loga akitafuna sambusa ile kwa raha zake, pembeni ya Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana ya Simba SC, Said Tuliy 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UKIPENDA MUITE...'LOGA MASAMBUSA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top