• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 27, 2014

  STRAIKA MPYA SIMBA SC ATUA DAR NA PIGO ZA BALOTELLI

  Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Paul Kiongera kutoka Kenya akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Iddi Kajuna baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni ya leo.
  Staili ya Balotelli; Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Kenya na klabu ya KCB ya kwao, amekuja kukamilisha usajili wake Simba SC, baada ya kuwa tayari amekwishafanya mazungumzo na uongozi wa klabu hiyo. Hili ni vazi maarufu kama Balotelli, ambalo kwa mara ya kwanza alionekana mshambuliaji wa Italia, Mario Balotelli amevaa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STRAIKA MPYA SIMBA SC ATUA DAR NA PIGO ZA BALOTELLI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top