MAMBO YOTE THE BLUES, COSTA, FABREGAS NA LUIS WAKIWA NA UZI WA CHELSEA
Nyota waliosajiliwa: Wachezaji wapya wa Chelsea, kutoka kushoto Diego Costa, Cesc Fabregas na Filipe Luis wakiwa wameshika jezi ya The Blues nchini Austria ambako timu hiyo imeweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya
0 comments:
Post a Comment