• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 30, 2014

  FABREGAS AFUNGUA AKAUNTI YAKE YA MABAO CHELSEA IKIUA 3-1 MAPANDE YOTE YA COSTA

  UWEKEZAJI mkubwa wa Chelsea kwa wachezaji Diego Costa na Cesc Fabregas umeanza kulipa baada ya nyota hao kumfungia mabao kocha Jose Mourinho, aliyempumzisha Didier Drogba leo The Blues ikishinda 3-1 dhidi ya Vitesse Arnhem.
  Mkongwe huyo wa Ivory Coast alikuwa benchi akimshuhudia Costa akipika mabao tote matatu katika mchezo huo wa kujiandaa na msimu.
  Mabao ya Chelsea leo yamefungwa na Cesc Fabregas, Mo Salah na Nemanja Matic wote wakimalizia kazi nzuri ya CostaUros Djurdevic aliyetokea benchi, aliifungia Vitesse bao la kufutia machozi dakika za lala salama. 

  Afungua akaunti ya mabao darajani: Cesc Fabregas amefunga bao lake la kwanza Chelsea leo
  Opener: Mo Salah gave Chelsea the lead after just four minutes
  Mo Salah ndiye aliyeifungia bao la kwanza Chelsea leo
  Looking on: Didier Drogba, Thibaut Courtois and Jon Obi Mikel watched from the sidelines
  Didier Drogba, Thibaut Courtois na Jon Obi Mikel wakiwa benchi leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FABREGAS AFUNGUA AKAUNTI YAKE YA MABAO CHELSEA IKIUA 3-1 MAPANDE YOTE YA COSTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top