• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 26, 2014

  RONALDO NA MAYWEATHER WALIPOKUTANA...DUNIA YOTE YAO


  Magwiji walipokutana: Cristiano Ronaldo ameposti picha hii kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na bondia Floyd Mayweather baada ya kukutana naye leo na kuandika; "Safi kujiachia na bingwa". Mreno Ronaldo anayechezea Real Madrid ni Mwanasoka Bora wa Dunia, wakati Mmarekani Mayweather ni bingwa wa dunia ambaye hajawahi kupigwa katika ndondi za kulipwa. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO NA MAYWEATHER WALIPOKUTANA...DUNIA YOTE YAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top