• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 30, 2014

  MAN UNITED NA INTER MILAN KATIKA PICHA JANA MAREKANI


  Kazini: Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney akimtoka beki wa Inter Milan, Jonathan kipindi cha kwanza jana katika mchezo wa Kombe la Kimataifa nchini Marekani. United ilishinda kwa penalti 5-3 baada ya safe 0-0.
  Clamber: Chris Smalling goes for the ball by climbing over Inter's Mauro Icardi
  Chris Smalling wa United kushoto akipambana na Mauro Icardi wa Inter Milan
  Trip: Mauro Icardi goes down under challenge from Ander Herrera during the first period
  Mauro Icardi kushoto akipambana na Ander Herrera 
  Keep it in: Juan Mata tries to keep the ball in play under pressure from Juan Jesus
  Juan Mata wa Man United kulia akimtoka Juan Jesus
  Spanish star: United's new signing Ander Herrera keeps the ball away from Inter player Dodo
  Ander Herrera akipiga mpira dhidi ya Dodo wa Inter Milan
  Extra training: United boss Louis van Gaal had said earlier in the week that new signing Luke Shaw wasn't fit enough and excluded him from the squad for this match. He did take part in the warm-up however
  Kocha wa United, Louis van Gaal akizungumza na beki Luke Shaw ambaye amemuambia hayuko fiti kiasi cha kutosha na kumtaka afanye mazoezi ya peke yake kujiweka fiti kwanza
  You look familiar: Former Man United defender Nemanja Vidic, who moved to Inter Milan earlier in the summer, walks out to face his former club
  Beki wa zamani wa Man United, Nemanja Vidic, ambaye amehamia Inter Milan msimu huu jana alikutana na klabu yake ya zamani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED NA INTER MILAN KATIKA PICHA JANA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top