• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 30, 2014

  RONALDO ATULIA 'TULIII' BENCHI REAL IKIPIGWA KIDUDE NA ROMA

  MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo aliishuhudia timu yake Real Madrid ikifungwa 1-0 na Roma akiwa bench katika mchezo wa mwisho wa kujiandaa na msimu mpya usiku wa kuamkia leo nchini Marekani.
  Bao pekee la Francesco Totti dakika ya 58 mjini Texas lilitosha kuiangusha timu ya Carlo Ancelotti ambayo ilicheza bila mshambuliaji.
  Mechi hiyo ilikumbwa na vitimbi mwishoni baada ya mashabiki kuvamia uwanja kwenda kuwakumbatia na kupiga nao picha wachezaji wawapendao.
  Benchi: Cristiano Ronaldo alikuwa benchi Real Madrid ikimenyana na Roma Wing wizard: Gareth Bale was unable to prevent his side losing to the Italians
  Winga wa Real, Gareth Bale akitafuta mbinu za kumpokonya mpira mpinzaniInvasion: A fan that made it onto the field takes a selfie with Real Madrid's Isco
  Shabiki akijipiga picha na nyota wa Real Madrid, Isco Game over: A fan is detained by a police officer after running on the field during Roma's win
  Polisi akimdhibiti mmoja wa mashabiki waliovamia uwanjaWinner: Francesco Totti scored the only goal of the game in the second half
  Francesco Totti akifunga bao pekee la ushindi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO ATULIA 'TULIII' BENCHI REAL IKIPIGWA KIDUDE NA ROMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top