• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 28, 2014

  LIVERPOOL YAUA 1-0, MAMBO YA DOGO RAHEEM STERLING

  Mkali: Mshambuliaji wa Liverpool, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi katika mchezo wa kujiandaa na msimu usiku wa kuamkia leo dhidi ya Olympiacos ya Ugiriki, Kombe la Kimataifa. Liverpool itacheza pia na AC Milan na Manchester City katika Kundi B la michuano hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAUA 1-0, MAMBO YA DOGO RAHEEM STERLING Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top