Shabiki maarufu wa kike wa Simba SC, Fii akipigwa busu na shabiki mwenzake Uwanja wa Karume asubuhi ya leo wakati wa mchezo wa Robo Fainali mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Kombe la Rollingston dhidi ya Azam FC iliyoshinda kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
0 comments:
Post a Comment