• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 24, 2014

  MAN YAENDELEZA 'TABIA MBAYA', YAITANDIKA KANSAS CITY 4-1

  MABINGWA wa England, Manchester City wamerudi na tabia yao ile ile ya kuzitandika timu mabao mengi mengi baada ya jana kuifunga Sporting Kansas City 4-1 katika ziara yake ya kujiandaa na msimu nchini Marekani.
  Zuculini aliifungia Man City bao la kuongoza dakika ya tatu, lakini Sapong akaisawazishia Kansas dakika ya 30 kabla ya mabingwa wa England kufungulia ‘mijibwa’ yake. 
  Boyata alifunga na pili dakika ya 45, Kolarov akafunga la tatu kwa penalti dakika ya 73 kabla ya Iheanacho kufunga la nne dakika ya 89. 

  Dedryck Boyata akienda hewani kuifungia Man City bao la pili 
  Great start: New signing Bruno Zuculini gave City a lead in the first-half in Kansas
  Mchezaji mpya, Bruno Zuculini akiifngia bao la kuongoza Man City mjini Kansas 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN YAENDELEZA 'TABIA MBAYA', YAITANDIKA KANSAS CITY 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top