• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 29, 2014

  BABA YAKE TEVEZ ATEKWA ARGENTINA, CARLOS AKWEA PIPA KURUDI NYUMBANI KUMKOMBOA MZEE

  BABA wa mchezaji wa zamani wa Manchester United na Manchester City, Carlos Tevez ametekwa nchini Argentina, kwa mujibu wa taarifa. 
  La Nacion ya Argentina imeripoti kwamba Juan Carlos Cabrera alikuwa anaendesha gari lake katika Manispaa ya Moron, jimbo la Buenos Aires, wakati anatekwa asubuhi ya leo.
  Klabu ya Tevez, Juventus imethibitisha kwamba mshambuliaji huyo amekwenda Argentina baada ya tukio hilo asubuhi ya leo. Pamoja na hayo, klabu haina taarifa zaidi juu ya tukio hilo.

  Wakati mgumu: Carlos Tevez akiwa na baba yake, Juan Carlos Cabrera ambaye ameripotiwa kutekwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BABA YAKE TEVEZ ATEKWA ARGENTINA, CARLOS AKWEA PIPA KURUDI NYUMBANI KUMKOMBOA MZEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top