• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 22, 2014

  DIEGO COSTA, FABREGAS WAANZA MATIZI CHELSEA KWA KISHINDO

  WACHEZAJI wapya Diego Costa na Cesc Fabregas wameanza kujifua na timu yao mpya, Chelsea inayofundishwa na Mreno Jose Mourinho amabyo imepiga kambi Austria.
  Wawili hao walioajiliwa kutoka Atletico Madrid na Barcelona msimu huu, walionekana wenye furaha na moral ya hali ya juu wakati wa mazoezi yao ya kwanza baada ya kufanya vibaya Kombe la Dunia wakiwa na timu yao ya taifa, Hispania.
  Mchezaji mpya, Diego Costa akijiandaa kupokea mpira wakati wa mazoezi ya Chelsea kujiandaa na msimu nchini Austria
  New do: Cesc Fabregas (centre) is sporting a new shaven head since his arrival at Chelsea this season
  Cesc Fabregas (katikati) akifanya mazoezi na Chelsea
  I'm in charge: Chelsea manager Jose Mourinho (second right) takes control of a training match
  Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho (wa pili kulia) akiongoza mazoezi
  Blue boys: Brazilians Diego Costa and Filipe Luis in their Chelsea gear
  Wabrazil, Diego Costa na Filipe Luis walipowasili Chelsea

  Kikosi cha Chelsea kilichopo kwenye kambi hiyo kinaundwa na Petr Cech, Matej Delac, Mitchell Beeney, Mark Schwarzer, Branislav Ivanovic, Oriol Romeu, Kurt Zouma, Andreas Christensen, John Terry, Gary Cahill, Nathan Ake, Cesar Azpilicueta na Marco van Ginkel. Wengine ni Nemanja Matic, Nathaniel Chalobah, Mohamed Salah, Jeremie Boga, Lewis Baker, John Swift, Cesc Fabregas, Patrick Bamford, Fernando Torres, Diego Costa, Dominic Solanke, Filipe Luis na Isaiah Brown.

  ZIARA YA CHELSEA KUJIANDAA NA MSIMU

  Julai 23, 2014:   Wolfsberger AC
  Julai 27, 2014:   Olimpija
  Julai 30, 2014:   Vitesse
  Agosti 3, 2014:   Werder Bremen
  Agosti 10, 2014: Ferencvaros
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA, FABREGAS WAANZA MATIZI CHELSEA KWA KISHINDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top