• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 23, 2014

  ARSENAL WENGER ASAJILI KITOTO CHA UJERUMANI KINACHOJIFUNZA SOKA BARCA

  KLABU ya Arsenal imesajili kinda la thamani ya juu kutoka timu ya vijana ya Barcelona, Georgios Spanoudakis, ambaye awali nalikataa ofa kibao za timu ya Arsene Wenger.
  Kina hilo la miaka 15 linalocheza nafasi ya kiungo cha kati lilijiunga na akademi ya Katalunya, La Masia likitokea Eintracht Frankfurt mwaka 2009, lakimi sasa linajiunga kikosi cha Arsenal cha vijana chini ya umri wa miaka 18 kuanzia msimu ujao.
  Spanoudakis amechezea mechi kadhaa timu za taifa za vijana za Ujerumani, lakini bado anaweza kuamua kucheze Ugiriki akitaka kubadilisha uraia.

  Nyota wa baadaye: Chipukizi wa Ujermani, Georgios Spanoudakis amesaini Arsenal
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WENGER ASAJILI KITOTO CHA UJERUMANI KINACHOJIFUNZA SOKA BARCA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top