• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 23, 2014

  WACHEZAJI TAIFA STARS WAKIPASHA KATIKA GYM LEO DAR

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakifanya mazoezi katika gum ya Rio, iliyopo jengo la Golden Jubilee Tower katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Stars ipo katika maandalizi ya mchezo wa marudiano dhidi ya Msumbiji hatua ya mwisho ya mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Morocco.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WACHEZAJI TAIFA STARS WAKIPASHA KATIKA GYM LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top