• HABARI MPYA

  Wednesday, July 30, 2014

  "BABU NIPE MCHONGO WA UMANGANI...NIMESHACHOKA NA SOKA LA BONGO"

  Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' kulia akiwa na kiungo mwenzake wa zamani wa klabu hiyo, Mwinyi Kazimoto kushoto ambaye kwa sasa anachezea Al Markhiya ya Qatar. Hii ilikuwa jioni ya leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakati kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilipokuwa kinasafiri kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya siku mbili kabla ya kwenda Msumbiji kumenyana na wenyeji Mambas, katika mchezo wa marudiano kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Morocco.   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: "BABU NIPE MCHONGO WA UMANGANI...NIMESHACHOKA NA SOKA LA BONGO" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top