• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 29, 2014

  NAYMAR AFANYA MATANUZI BAADA YA KUPONA MGONGO ULIOIPONZA BRAZIL KUBORONGA KOMBE LA DUNIA

  MSHAMBULIAJI wa Brazil, Neymar amepona maumivu ya mgomgo aliyoyapata kwenye Kombe la Dunia na nyota huyo wa Barcelona amekwenda kula bata na mpenzi wake Bruna Marquezine nchini Hispania.
  Wapendanao hap walikuwa wakifuarahia maisha katika fukwe za Ibiza huku Neymar - amefunga kitu cha kuuzuia mgongo wake.
  Neymar alikosa mechi mbili za mwisho za nchi yake baada ya kuumia mgongo katika Robo Fainali dhidi ya Colombia.

  Kinga: Mshambuliaji wa Brazil, Neymar akienda kuoegelea huku amevaa kitu cha kuzuia mgomgo wake alioumia
  Chilled: Neymar relaxes with his girlfriend Bruna Marquezine in Ibiza
  Neymar akipoga gumzo na mpenzi wake Bruna Marquezine huko Ibiza
  Bit of support: Neymar shows off the back support he is wearing whilst he recovers from injury
  Neymar na mpenzi wake Ibiza
  Popular: Neymar stopped by fans on the beach after pictures
  Mashabiki wakiwa wamemzunguka Neymar ili kupoiga naye picha
  Paddle: Bruna having a dip in the sea
  Paddle: Bruna having a dip in the sea
  Bruna kwa raha zake katika fukwe za Ibiza
  Boating: Neymar and Co go for a sail
  Neymar na washirika wake wakiwa kwenye boti
  At sea: The couple head out to water
  Wapenzi hao wakichezea maji
  Disembarking: Neymar climbing out of the boat
  Neymar akiruka kushuka kwenye boti
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAYMAR AFANYA MATANUZI BAADA YA KUPONA MGONGO ULIOIPONZA BRAZIL KUBORONGA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top