• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 25, 2014

  AZAM AKADEMI YATINGA ROBO FAINALI ROLLINGSTON, ITAKUTANA NA SIMBA SC

  Wachezaji wa Azam FC wakimpongeza mwenzao, Jamil Mchaulu 'Balotelli' baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Jacky ya Mbagala mchezo wa 16 Bora michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Rollingston, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam mchana wa leo. Mabao mengine ya Azam yamefungwa na Masoud Abdallah na Adam Soba na sasa timu hiyo imetinga Robo Fainali ambako itakutana na Simba SC. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM AKADEMI YATINGA ROBO FAINALI ROLLINGSTON, ITAKUTANA NA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top