DIEGO COSTA ATAKA KUZIPIGA MCHEZAJI WA VITESSE KISA KUCHEZEWA RAFU
Chupuchupu zipigwe: Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akizinguana na mchezaji wa Vitesse Arnhem, Guram Kashia wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo leo. Chelsea ilishinda 3-1.
+7
Chanzo; kasheshe hilo lilifuatia Costa kuchezewa rafu na Labyad
0 comments:
Post a Comment