• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 22, 2014

  JAMES RODRIGUEZ AKABIDHIWA JEZI NAMBA 10 REAL MADIRD NA KUPIGA SHOO LA HATARI BERNABEU

  MFUNGAJI bora wa Kombe la Dunia, James Rodriguez hatimaye ametambulishwa Real Madrid  baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 60 kutoka Monaco jioni ya leo.
  Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Colombia amesaini mkataba wa miaka sita na Madrid baada ya kufuzu vipimo vya afya asubuhi Santiago Bernabau na kukabidhiwa jezi namba 10.
  Rais wa Madrid, Florentino Perez amemkaribisha mshambuliaji huyo akimfananisha na gwiji wa zamani wa klabu hiyo, marehemu Alfredo Di Stefano ambaye pia alijiunga na klabu hiyo akitokea Colombia. 

  Amesajiliwa: James Rodriguez ametambulishwa Real Madrid leo na kukabidhiwa jezi mamba 10 Uwanja wa Santiago Bernabeu
  All smiles: Real Madrid president Florentino Perez (left), Rodriguez (right) and his wife Daniela at presentation
  Rais wa Real Madrid, Florentino Perez (kushoto), Rodriguez (kulia) na mkewe Daniela wakati wa kutambulishwa
  Skills: Rodriguez showed played up to the crowd with some flicks and tricks out on the pitch
  Rodriguez akionyesha uwezo mbele ua maelfu ya mashabiki uwanjani
  Control: Rodriguez put on an impressive display for the Madrid fans at the Bernabeu
  Control: Rodriguez put on an impressive display for the Madrid fans at the Bernabeu
  Rodriguez alionyesha uwezo mkubwa Bernabeu
  Taking it down: Rodriguez wore some pink and blue boots during his unveiling
  Rodriguez alikonga nyoyo za mashabiki kwa vita hivi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JAMES RODRIGUEZ AKABIDHIWA JEZI NAMBA 10 REAL MADIRD NA KUPIGA SHOO LA HATARI BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top