• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 27, 2014

  DIEGO COSTA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO CHELSEA IKIUA 2-1...DROGBA ALIKUWA BENCHI

  MABAO ya Diego Costa na Kurt Zouma yameipa Chelsea ushindi wa 2-1 dhidi ya Olimpija Ljubljana jioni hii nchini Slovenia katika mchezo ambao Didier Drgoba aliyerejeshwa tena Stamford Bridge alikuwa benchi.
  Kikosi cha Jose Mourinho kililazimika kupambana na kutoka nyuma kwa bao 1-0 hadi mapunziko baada ya Nik Kapun kuifungia timu hiyo ya Slovenia bao la kuongoza.  Lakini mabao ya kipindi cha pili ya Costa na Zouma yaliipa The Blues ushindi ikitoka nyuma.
  Branislav Ivanovic alifikiri amefunga bao la tatu, baada ya awali kukubaliwa, lakini ghafla refa akabadilisha mawazo yake na kukataa bao hilo. 
  Kikois cha Chelsea kilikuwa: Delac/Cech dk46, Azpilicueta/Ivanovic dk46, Cahill/Terry dk46, Zouma, Luis/Ake dk46, Matic,Solanke, Fabregas/Romeu dk69, Salah/Chalobah dk72, Boga/Van Ginkel dk46, Brown/Torres dk46 na Costa/Bamford dk72.
  Mtu hatari: Mshambuliaji wa zamani wa Atletico Madrid, Costa akikimbia baada ya kufunga bao lake la kwanza akiwa na jezi ya bluu ya Chelsea New boy: Summer signing Diego Costa lashes the ball into the back of the net to make it 1-1 in the second half
  Diego Costa akijiandaa kufungaRough welcome: Costa is on the receiving end of a strong tackle from Antonio Mlinar Delamea
  Costa akipambana na Antonio Mlinar Delamea Orders: Manager Jose Mourinho shouts instructions from the half way line as his team take on Olimpija
  Orders: Manager Jose Mourinho shouts instructions from the half way line as his team take on Olimpija
  Cool finish: Kurt Zouma (second from left) celebrates his winning goal with team-mate Mohamed Salah
  Kurt Zouma (wa pili kushoto) akishangilia bao lake na Mohamed Salah Assist: Former Arsenal and Barcelona midfielder Fabregas impressed on his first appearance for the club
  Kiungo wa zamani wa Arsenal na Barcelona, Fabregas alikuwa kivutioa leoMy ball: New signing Filipe Luis (right) shrugs off Olimpija's Nik Omladic (left) before the break
  Mchezaji mpya, Filipe Luis (kulia) akipambana na Nik Omladic (kushoto) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO CHELSEA IKIUA 2-1...DROGBA ALIKUWA BENCHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top