• HABARI MPYA

    Tuesday, July 15, 2014

    MARKOVIC SASA NI MWEKUNDU WA ANFIELD, LIVERPOOL YAMWAGA PAUNI MILIONI 60

    MSHAMBULIAJI wa Serbia, Lazar Markovic amekuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na Liverpool kuelekea msimu ujao, akinunulkiwa kwa Pauni Milioni 20 kutoka Benfica.
    Kuwasili kwa Markovic, kunaifanya Liverpool owe imetumia jumla ya Pauni Milioni 60 za usajili baada ya awali kuwanunua Rickie Lambert na Adam Lallana kutoka Southampton na Emre Can kutoka Bayer Leverkusen.
    "Nina furaha mno kujiunga na klabu kubwa kama hii," amesema mchezaji huyo aliyeipa Benfica ubingwa wa Ligi Kuu Ureno msimu uliopita.

    Lazar Mwekundu: Markovic akifurahia huku ameshika jezi ya Liverpool baada ya kusaini Mkataba wa muda mrefu na Wekundu hao Anfiled
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MARKOVIC SASA NI MWEKUNDU WA ANFIELD, LIVERPOOL YAMWAGA PAUNI MILIONI 60 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top