PAJA LA FRANK DOMAYO BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI AFRIKA KUSINI
Mwonekano wa paja la kiungo wa Azam FC, Frank Domayo baada ya kufanyiwa upasuaji wa tiba ya misuli ya nyama za eneo hilo nchini Afrika Kusini mwishoni mwa wiki.
Domayo alikwenda na Joseph Kimwaga Afrika Kusini kufanyiwa matibabu
0 comments:
Post a Comment