• HABARI MPYA

    Tuesday, March 20, 2012

    GURUMO ANAENDELEA VEMA MUHIMBILI

    Mwanamuziki mkongwe wa bendi Msondo Ngoma, Muhiddin Gurumo
    akiwa katika hospital ya Taifa Muhimbili, Dar es salaam leo, akipimwa
    mapigo ya moyo na Ofisa Muuguzi Msaidizi wa Hospital hiyo, Suraiya
    Mohamed alipolazwa kufanyiwa uchunguzi wa kina wa afya yake tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.(Picha na www.burudan.blogspot.com)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GURUMO ANAENDELEA VEMA MUHIMBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top