• HABARI MPYA

  Saturday, January 12, 2019

  CHELSEA YAIADABISHA NEWCASTLE UNTED, YAICHAPA 2-1

  Willian akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao ka pili dakika ya 57 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Newcastle United leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Pedro dakika ya tisa na bao la kusawazisha la Newcastle limefungwa na Ciaran Clark dakika ya 40                                          
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIADABISHA NEWCASTLE UNTED, YAICHAPA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top