• HABARI MPYA

    Friday, October 12, 2018

    HISPANIA YAITANDIKA WALES 4-1 PALE PALE PRINCIPALITY, ALCACER AFUNGA MAWILI

    Wachezaji wa Hispania wakimpongeza mwenzao, Paco Alcacer baada ya kufunga mabao mawili dakika za nane na 29 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Wales kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Principality mjini Cardiff. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 19 na Marc Bartra dakika ya 74, wakati la Wales lilifungwa na Sam Vokes dakika ya 89 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HISPANIA YAITANDIKA WALES 4-1 PALE PALE PRINCIPALITY, ALCACER AFUNGA MAWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top