• HABARI MPYA

  Sunday, October 07, 2018

  CHELSEA YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-0 UWANJA WA ST. MARY'S

  Kiungo Ross Barkley (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Eden Hazard (kulia) na Olivier Giroud (katikati) baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 57 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Hazard dakika ya 30 na Alvaro Morata dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-0 UWANJA WA ST. MARY'S Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top