Kiungo Ross Barkley (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Eden Hazard (kulia) na Olivier Giroud (katikati) baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 57 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Hazard dakika ya 30 na Alvaro Morata dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Violence flares in Haiti as gang attack kills 30 people
-
Island nation grapples with violence as it seeks to hold first elections in
more than a decade.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment