Beki wa Singida United, Miraj Adam (kulia) akipambana na mchezaji wa Gor Mahia katika mchezo wa Nusu Fainali wa SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Kenya. Gor Mahia ilishinda 2-0 |
Wachezaji wa Singida United wakiwafuatilia wachezaji wa Gor Mahia |
Deus Kaseke wa Singida United (kushoto) akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Gor Mahia |
Kikosi cha Gor Mahia kilichoinyuka Singida United 2-0 jana |
Kikosi cha Singida United kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru |
0 comments:
Post a Comment