Rais wa Ureno, Marcelo Rebelo de Sousa (kulia) akisalimiana na nyota wa timu yake ya taifa, Cristiano Ronaldo anayetabasamu kushoto kufuatia kiongozi huyo wa nchi kukutana na wachezaji katika Makumbusho ya Kocha wa Taifa mjini Lisbon kabla ya kwenda Urusi kwenye Fainali za Kombe la Dunia wiki ijayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brazil great Marta to retire from international duty
-
Brazil's all-time record goalscorer Marta says she will retire from
international football later this year.
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment